المدة الزمنية 5:4

AIC DAR ES SALAAM CHOIR - ATURUZUKUYE (OfficialVideo)

24 915 مشاهدة
0
169
تم نشره في 2019/10/09

AIC DAR ES SALAAM CHOIR Tunakukaribisha kutazama wimbo Maalum kwa ajili ya Kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Ahimidiwe BWANA Mungu wetu sifa zote ni zake #ATURUZUKUYE

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 44
  • @
    @alphonsinajohansen353منذ 3 سنوات Naomba ule original wa 1999 pleaseeeeee
  • @
    @jifunzekuhusuwewe7475منذ 4 سنوات Kitambo sanaaaa huuu wimbo ila daaa kuna namna mmeibadilisha Umeondoa vionjo vya kale daaaa mmeweka vya ujanani
  • @
    @elisha.mwabwagiloقبل 7 أشهر Praise the Lord.
    wapendwa wekeni album nzima ya aturuzukuye, MFANYIENI BWANA SHANGWE . Basi kwa kuwa kristo aliteswa
  • @
    @neemamponji2720منذ 3 سنوات Mimi naomba ule wa Christmas ,yusuphu na Mariam walikwenda ,uyahudi ili kuwa ni kwa majina.
    Wageni wengi wamejaa kwako ,Yesu amekosa pa kuzaliwa .
    Mtuwekee tafadhari
  • @
    @leonardbuswelu5389منذ 5 سنوات Nimerikiwa saana na hii nyimbo imetulia
  • @
    @micatunestudio7210منذ 5 سنوات Da!! Huu wimbo wa siku nyingi sana Mungu awabariki sana watumishi wa MUNGU
  • @
    @florameza9529منذ 5 سنوات Wimbo unanikumbusha msiba wa mwl nyerere uliimbwa huu wimbo mpaka basi aic mko juu 1
  • @
    @danielmnyagaمنذ 5 سنوات This song is just anointed ever since
    God bless you
  • @
    @wilsonkaseha2034منذ 4 سنوات so touching really! Barikiwa mtunzi kwa neema ya kipaji, na waimbaji safiiii
  • @
    @edwardisack1890منذ 5 سنوات hongera sana,nimependa sana huu wimbo hasa sauti zimetulia good
  • @
    @sapiensiajoely228العام الماضي Merce nyagwaswa Yuko wapi jamn ??? Nampenda sn tangu NIKIWA mdogo
  • @
    @jescafulمنذ 5 سنوات This is new version is Brilliant, It's one of my favorate old songs from 19s. Music now is more combined and well cordinated, Keep improving & God Bless. 5
  • @
    @mercykelly9914منذ 5 سنوات Happy to see you again after a while
    I'm your fun from Kenya
    Much love to you and great job
    2
  • @
    @pharesmitarya4892منذ 5 سنوات Nimeutafuta sana huu wimbo mbarikiwe sana,nimekumbuka jinsi maombolezo ya baba wa Taifa yalivyokuwa.Ila Mercy Nyagaswa sijamuona hapo,nakumbuka aliongoza id="hidden3" class="buttons"> vizuri sana huu wimbo,mara ya mwisho nilimuona akiwa mtangazaji ,kwa sasa sijui yuko wapi ....وسعت 1
  • @
    @danielymbangwa3742منذ 5 سنوات Way back 1999 mmenikumbusha mbali sana
  • @
    @jasteve2منذ 5 سنوات Kazi nzuri sana ila Mercy angemalizia kule mwisho ingekuwa balaa zaidi. Hongereni sana 2
  • @
    @kingtoldipset7050منذ 5 سنوات Indeed . but i lost my VHS of the very first and origin ATURUZUKUYE video album ,where can i geta copy? some help please !! i have been blessed by the messages from it all these years.
  • @
    @mulokozimwijage7507منذ 4 سنوات Mmeimba vizuri sana, hata "body language" inaonyesha mnaimba toka kwenye vilindi vya nafsi zenu. Nimewapenda sanaaaa
  • @
    @innocent91044منذ 5 سنوات Mungu awabariki kwa kazi njema wapendwa wa ktk Bwana. 1
  • @
    @protasjoseph6632منذ 5 سنوات Nimeupenda sana.ila duh.. N wengine wangeimba pia
  • @
    @pharesmitarya4892منذ 5 سنوات Nimeutafuta sana huu wimbo mbarikiwe sana,nimekumbuka jinsi maombolezo ya baba wa Taifa yalivyokuwa.Ila Mercy Nyagaswa sijamuona hapo,nakumbuka aliongoza id="hidden6" class="buttons"> vizuri sana huu wimbo,mara ya mwisho nilimuona akiwa mtangazaji ,kwa sasa sijui yuko wapi ....وسعت 1