المدة الزمنية 24:8

SIRI YA MAISHA YA MILLARD AYO YAFICHUKA

بواسطة CELEB AFRICA TV
12 219 مشاهدة
0
162
تم نشره في 2019/09/11

MAISHA, CHANGAMOTO NA MAFANIKIO YA MILLARD AYO KATIKA MAHOJIANO NA PATRICK NEWMAN KUPITIA @CELEBAFRICATV 📺CELEB AFRICA TV 📺 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇨🇩🇧🇮🇷🇼🇳🇬🇿🇦🇨🇦🇬🇧🇺🇸 US-based Digital Outlet with Podcast & YouTube contents to update the Swahili speaking & Diaspora around the World https://www.facebook.com/CELEBAFRICATV https://www.instagram.com/celebafricaTV https://www.twitter.com/celebafricaTV https://www.celebafrica.com #MilladAyo #CelebAfricaTV #Diaspora -~-~~-~~~-~~-~- Please watch: "Watanzania wengi kufungiwa youtube accounts zao#HakiMiliki #copyright #celebafricatv " /watch/wRwvTmIxNqSxv -~-~~-~~~-~~-~-

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 35
  • @
    @bonpaul73082 years ago Nakukubali sana Millard, bro u are so encouraging and inspiring
  • @
    @fredyjhosephkapesula72672 years ago Woooow nimeyapenda Sana mahijiono yenu endeleeni kuwapa ushauri na kuwatiamoyo vijana wenzenu mbalikiwe Sana
  • @
    @theodolaselestine65704 years ago MUNGU akubariki sana kaka milladi,
    Wengi vijana tunapitia changamoto sana za mitaji ,
  • @
    @JosephNkina-zq5zu11 months ago Sina mengi ila tu Millard ayo kanifunza kitu kizuri abarikiwe mungu ampe maisha malefu inshallah tutafika mbali kikubwa tusikate tamaa
  • @
    @zesootv67265 years ago Nzuri sana kaka millard Kila ki2 ni jitihada. 1
  • @
    @lilianmoses15 years ago @millardayo is my best imformer in world ni mtu nnayemkubali sanaaa
  • @
    @felistaedward18852 years ago Most ya vjana wengi Wana uwezo mkubwa mitaani wanahtaji saport
  • @
    @rosemarysulle92883 years ago Kati ya watangazaji wote tz,napenda sana Millard anajielewa sana huyu kaka.
  • @
    @unicimpagadhi38365 years ago Kumbe kuna shida alafu kuna shida kabisa ,tutakoma 1
  • @
    @mlokaferdinand4 years ago Daaah...me nimeisikia Leo aisee...yani ukisema nichambue hapo nimeelewa nn ntakua nakosea tu....kila kitu alichoongea milady ni point....hiyo kitu ya kutolewa kwenye mtihani had machozi yamenilenga.....bado tunapambana na mitaji hatuna kweli japo fursa nazionaa ...
  • @
    @monistella63014 years ago Jamani mama alipigania maisha yako Millard usimsahau ama kweli mama ni mama!!!
  • @
    @mangalajr14764 years ago Alichozungumza Millard ni kweli na nimfano wa kuigwa kwa kalia zote ,si kijana tu hata watu wazima.
  • @
    @afonsokamuth91534 years ago Natazama kutoka Mozambique Da ni kijana wa mfano sana nina talent ya uimbaji lakini nashindwa kupata nafasi
  • @
    @goodluckpatrice50052 years ago Good interview but tunaomba ututafutie interview nyingine kam za huy entrepreneur
  • @
    @alfredidabaligasomola59964 years ago nampenda bure Millard uyu, hana kibur wala kujikweza, msiri
  • @
    @donmvunjambavu34532 years ago Alichopotea za Millard Ayo Yuko right tupambane ili tufanikiwe
  • @
    @jmmusicmedia46005 years ago Namkubari sana bro Millard yeye ndo kanifanya niwe blogger na kuarrange my big project for my life nakumbuka interview yake moja na Mkasi he said "Kuwekeza sio pesa tu hata mda unahitajika katika kile unachokifanya".
    Interview iko poa but ingekua poa zaidi kama ungekua unge kuwa na maswali ya tofauti kama 10 ivi na mafupi , millard yuko bze sana kiasi sio mtu wa interview sana so watu wanahitaji kujua mambo mengi sana kutoka kwake.
    Thank You Celeb Africa
    me
    @jmmusictz@
    ...
    3
  • @
    @eliezerydaniel936710 months ago Nimejifunza kitu pekee, kuwa kujituma kunalipa
  • @
    @DALAapplication2 years ago kijana asiye na makuu kwenye watu marufuu tanzaniA
  • @
    @ramadhaniseif55655 years ago Alafu mtu anakuja anasema hovo juu ya mtu fulani bila kumfahamu huo ujinga