المدة الزمنية 6:34

MWALIMU KAPIGWA MIL 20 NA WAGANGA FEKI, MKASA WAKE UNASHANGAZA, ALIPELEKA MIL 10, AKARUDIA TENA..

بواسطة Global TV Online
6 394 مشاهدة
0
34
تم نشره في 2021/06/05

MWALIMU KAPIGWA MIL 20 NA WAGANGA FEKI, MKASA WAKE UNASHANGAZA, ALIPELEKA MIL 10, AKARUDIA TENA.. KATIKA hali ya kushangaza, mwalimu mmoja mkazi wa Mbeya, ameelezea jinsi alivyotapeliwa na watu waliojifanya kama waganga wa kienyeji ili wamsaidie kupata mafao yake.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 49
  • @
    @kalumbugideon4159منذ 3 سنوات Mfuateni Yesu Kristo Pekee Anaweza. Shuleni tunaenda hila Elimu ya namna ya kuishi inabaki kuwa ndogo Sana.Vyeti havisaidii Ndugu zangu. 3
  • @
    @tamatithomas3360منذ 3 سنوات Ukishajielekeza kwenye Iman hivyo mzee hahha pole sana umeliw,utajutia miaka yako uliofanyia kaz
  • @
    @margarethpolepole7438منذ 3 سنوات Huna akili mjinga sana wewe mwalimu mzima 2
  • @
    @kiri5807منذ 3 سنوات mtihani kweli . yaani watu wametanguliza shirki mbele ndio yanawakuta km haya. pesa yote hiyo ina maana miaka yote umewafanyia wao kazi . washenzi kweli nafikiri wanatumia mapepo kuwazuga watu ili wawaamini .
  • @
    @rahimaaaaa8699منذ 3 سنوات Kweli warudishe hakuna cha kesinmara ohoo ushahidi walete pesa
  • @
    @suleimansultan3333منذ 3 سنوات Asilimia kubwa hao Wanao ibiwa huwa Wana ahadi na waganga ya kupewa utajiri hao wote wapumbavu 1
  • @
    @user-cl2jr3re4sمنذ 3 سنوات mzee nae alikua anatamaa yapesa inaonekana ila pole mzee wang mana ulikua ukidamkia shulen skuzote mambo hayo uwez jua saiv kuna ya GOODMORING BV wataalam id="hidden2" class="buttons"> wanaita uwe makin mn huko kwenye goodmoring kuna wanja hao wakasome kule wanakwambia niwastaaf km ww ....وسعت
  • @
    @witneskilinda5034منذ 3 سنوات hahaha hahaha! ulimwengu huu umejaa ghasia
  • @
    @peteryukunda9239منذ 3 سنوات We2 mwl! Ucwaaibishe walimu,wapo maDr, MaEng,maProf,Walimu & wengine wengi, wamepata Elimu kupitia baba yangu kipenzi.Baki & ujinga wako.
  • @
    @user-cl2jr3re4sمنذ 3 سنوات Mbwambo mzee kumbe mpare pole faza baada yaz ukitoka ofcn lzm ujue kuna wenye elim yamtaani wanakungoja utoke darasan wakupeelim yakwao pia pole wanakwambia id="hidden3" class="buttons"> arumba kate arumba kate arumba yee msiniguse msini touch tusalimiane kwami ameingia cha. waaah chakii.waaah ....وسعت
  • @
    @maigajohn702منذ 3 سنوات Kwel elimu Haina mwisho na mwl nae kaingizwa mjini
  • @
    @evamacha7896منذ 3 سنوات kwanini uendekeze ushirikina wote akili sawa. Km kuna kupata hela kwa njia hiyo kusingekua na sababu ya kufanya kz
  • @
    @williammbuzimai5744منذ 3 سنوات Hiyo kesi mbona ndogo sana,
    Huyu mwalimu atakuwa mwalimu hewa,,
    Sasa, sasa.
    Watuhumiwa nipeni kesi hiyo niisimamie mie,
  • @
    @samwelshija2112منذ 3 سنوات apo mwalim kapigwa aisee . Kisheria apo kec rahis sn iyo na jamaa wanaeza chomoka cz issue za imani serikal haiamin na haziwez kua proved at the court. Nway, we pray for mstaafu apate hela yake.
  • @
    @janethkiswaga4204منذ 3 سنوات Nina wasiwaasi na wanafunzi wako uliokuwa unawafundisha sijui huko waliko wanafanya nini 2
  • @
    @salmadhiab2693منذ 3 سنوات Lakini jamani tuseme ukweli nahuyu mwalimu kilimpeleka nini naanajua kuna matapeli na yy nimkosa wacha yamkute unaambiwa ingeza bado unapeleka siujinga id="hidden5" class="buttons"> huo zakwanza hujapata onaogeza zingine peleka benki pole mwalimu umetoa sadaka zisameh imetoa hiyo ikirudi pancha pole kwa mara 2 ....وسعت
  • @
    @johnmasanja1762منذ 3 سنوات Hahahaaaaa, watu Mnaangamia kwa kukosa maaarifa
  • @
    @benedictmhina6741منذ 3 سنوات Mzee mpuuzi kabisa na huyo mzee mtieni ndani kwa upuuzi wake anaongea pumbav
  • @
    @cmsa1rمنذ 3 سنوات Just imagine a teacher believing in witchcraft and he is trusted to educate your child.Jesus is the only answer 1
  • @
    @dorahy1579منذ 3 سنوات Mbona mjinga na alikuwa mwalimu. Na siyo hata mzee. Miaka 54 tu anakuwa na akili ya maziwa lala!!!!
  • @
    @fidasjohn4700منذ 3 سنوات Huyo ni mwalimu wa wajinga sio mwalimu kama walimu ninavyo wajua mimi
  • @
    @user-cl2jr3re4sمنذ 3 سنوات mzee nae alikua anatamaa yapesa inaonekana ila pole mzee wang mana ulikua ukidamkia shulen skuzote mambo hayo uwez jua saiv kuna ya GOODMORING BV wataalam id="hidden7" class="buttons"> wanaita uwe makin mn huko kwenye goodmoring kuna wanja hao wakasome kule wanakwambia niwastaaf km ww ....وسعت
  • @
    @user-cl2jr3re4sمنذ 3 سنوات Mbwambo mzee kumbe mpare pole faza baada yaz ukitoka ofcn lzm ujue kuna wenye elim yamtaani wanakungoja utoke darasan wakupeelim yakwao pia pole wanakwambia id="hidden8" class="buttons"> arumba kate arumba kate arumba yee msiniguse msini touch tusalimiane kwami ameingia cha. waaah chakii.waaah ....وسعت
  • @
    @salmadhiab2693منذ 3 سنوات Lakini jamani tuseme ukweli nahuyu mwalimu kilimpeleka nini naanajua kuna matapeli na yy nimkosa wacha yamkute unaambiwa ingeza bado unapeleka siujinga id="hidden10" class="buttons"> huo zakwanza hujapata onaogeza zingine peleka benki pole mwalimu umetoa sadaka zisameh imetoa hiyo ikirudi pancha pole kwa mara 2 ....وسعت