المدة الزمنية 2:19:3

LIVE: MSTAAFU KIKWETE, KINANA, MAKAMBA WASHIRIKI KUMBUKUMBU ya KIFO CHA BABA MZAZI WA NAPE NNAUYE

بواسطة Global TV Online
52 689 مشاهدة
0
181
تم نشره في 2021/12/05

🔴#LIVE: MSTAAFU KIKWETE, KINANA, MAKAMBA WASHIRIKI KUMBUKUMBU ya KIFO CHA BABA MZAZI WA NAPE NNAUYE LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: /playlist/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 182
  • @
    @dianamahendekamahendeka1344منذ 3 سنوات Happy analia Bora amekufa tumebaki tunakula Bata raha imerudi endeleeni mungu ana waona 2
  • @
    @deusdebitkowa9657منذ 3 سنوات Kwa kweli,maisha ya Magu na hata kifo chake vinawatafuna sana hawa jamaa. Mwenye haki,haki husimama naye daima hata baada ya kifo chake. 14
  • @
    @deusdebitkowa9657منذ 3 سنوات Ngeleja na Membe wapo wapi Nape? Au uliwasahau. Kumbukeni hatujawasahau. Very intersting,mmeamua kujionesha waziwazi sasa. Haya,tunawafuatilia kwa ukaribu sana. 4
  • @
    @onesmolwambano9349منذ 3 سنوات Hivi babu yangu walioba anashati moja tu 2
  • @
    @bakermusa9033منذ 3 سنوات Sadly expect more gathering like this for some reasons 5
  • @
    @sheshem5453منذ 3 سنوات Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa Amani Mzee Nnauye. 1
  • @
    @queenkileo3698منذ 3 سنوات This gathering is interesting!
    Kinana.Makamba.Nape.Mzee Makamba.
    Does that ring bells?
    Only Membe is out
    9
  • @
    @teddyoscar6876منذ 3 سنوات Leo ndio wanasheherekea kifo cha Magufuli hawana lolote cheki walivyokunja nne mmh 7
  • @
    @gracekaboigora189منذ 3 سنوات Kwa sasa waliopo ni after pesa,ni maheitiemu tena bank zote 2
  • @
    @sokoinekagali9759منذ 2 سنوات Nyie kila siku mnajisifia tu hicho kidogo ulitetendea taifa Mungu sijui alijuaje akamfanya nyerere kukomboa taifa hili angelikuwa miongoni mwenu au baba id="hidden3" class="buttons"> zanu hakika leo watanzania tungepata shida na taabu sanaa kama kitabu cha Ayubu 14:1-3 kila kitu kina mwanzo na mwisho wakati ni ukuta. ....وسعت
  • @
    @jongwemomumo8729منذ 3 سنوات Mnajipanga ,Nape siku zoteeee hajawahi kuandaa event kama hii kuna walakini 6
  • @
    @davejoe5949منذ 3 سنوات crocodile teas Moses is just your Dad has been in the Army. Remember Mayunga and many died. Many soldiers need help right now. 2
  • @
    @sokoinekagali9759منذ 2 سنوات Ni kweli kabisa kuna kamchango mulikochangia kwenye taifa hini nyinyi ni miongni lkn mlikuwa mnalipwa mushahara lkn kwann hako kamchango mnakaweka mbele id="hidden4" class="buttons"> sana watumishi wenzenu mnawaweka nyuma sana Sisi watanzania tunamshukuru Mungu sana Kumchagua nyerere ndiyo akaleta uhuru angekuwa ni miongoni mwenu au baba zenu watanzania tungepata taabu na shida sanaaa lkn tunasema asente baba kunusuru hili. ....وسعت
  • @
    @mtumishimathias7762منذ 3 سنوات Naona mmeanza kujiweka kweupe ,hawa ndio wenyewe sasa G 7 of The state. 2
  • @
    @saidalsalmi9313منذ 3 سنوات Safii sana, CCM iko vizuri, watu wasio julikana hakuna tena. 1
  • @
    @abdallahhaji3793منذ 3 سنوات Sasa nape Kama unamshukuru nyerere kwa dhati na unamkumbuka ,basi usipinge ndoto zake za bwawa la nyerere hata kidogo maana ni kwa manufaa ya Tanzania. 2
  • @
    @bakermusa9033منذ 3 سنوات Ukweli mchungu Makamba ndo kiungo kinachomtambulisha Mama na hili Genge zitto .sad 7
  • @
    @ameedamilja7992منذ 3 سنوات Awamu ya 4 hiiii tupu imekutana acha wacheke tu kukumbukia Enzii zao za Twiga kupanda ndege kwenda nje. Ila wimbo umeleta hisia sana sijui jamaa kakumbuka nini 3
  • @
    @kefamwakipesile275منذ 3 سنوات Neno mheshimiwa nini? na nina na mwenye sifa gani apewe heshima ya kuitwa mweshumiwa? 2
  • @
    @amosimwambembela4989منذ 3 سنوات Hivi hii kumbukumbu imewahi fanyika hata mara nyingine huko nyuma?
  • @
    @gracekaboigora189منذ 3 سنوات Tungepata watu kama hao kumi nchi.ingeendelea 2
  • @
    @richardmziba55منذ 2 سنوات Mche wa "Mpingo" umeoteshwa hapo. Tusubiri muda si mrefu wakati utaongea.
  • @
    @saidimwishehekienda933منذ 3 سنوات Huyu bwege anayenong'ona[Kuongea kwa sauti ya kujificha] ndio fundi mitambo??hahahahaha anazingua kweli 1
  • @
    @ashrona9884منذ 3 سنوات Ila fannyen yote ila mungu yupo mshakupatiana mafisadi laaana ya mungu itakutafuneni 2
  • @
    @martinelaurence5211منذ 2 سنوات Huyo ndo mmemuona mumtangaze youtube? Nyinyi mmetuletea shida sana 1
  • @
    @victorishengoma4599منذ 3 سنوات Mbona JK hakumkumbuka swaiba wake Nauye Ila wakampresurize JPM amkumbuke?
  • @
    @jofreymanfred6560منذ 3 سنوات Wenye nchi hao sio nyie wapiga kelele wa chatu sasa ni raha tu, 1
  • @
    @billgussy6099منذ 3 سنوات Mnao tukana acheni kutukana basi kila zama na zama zake, Hawa ndo wanajua siasa hawana makasiriko 4
  • @
    @zesootv6726منذ 3 سنوات Wenye nchi hao siyo wapga kelele kama sisi ambao baba zetu ni kajamba nan 1
  • @
    @saidipara4134منذ 3 سنوات Dahhhh yani kila nikiandika comment na futa .dahhh
  • @
    @jumamnumbwa9483منذ 2 سنوات BrIgadia Moses nnauye alikuwa mjamaa haswaaa Ajabu watoto wafuasi wa ubepari
  • @
    @kingbuddah6372منذ 3 سنوات Na NDIO MAANA NAPE BABA YAKO KANYONGWA KWA SABABU YA MABAYA ALIKUA AKITENDA
  • @
    @istambuliahmedi8203منذ 3 سنوات Mtu akishakufa Mambo yake yota Yana katika isipokua Mambo matatu sadaka yenye kuendelea au ELIMU ambayo watu Wana nufaika kwa elimu hiyo au mtoto mwema id="hidden7" class="buttons"> ambae Ana mkumbuka mzaziwake kwa kumuombea Dua kwa hayo matatu aliekufu ataendelea kulipwa na MUNGU na kunufaika nayo namuomba MUNGU atuzindue kuyajua hayo ....وسعت
  • @
    @sadickbudoda4361منذ 3 سنوات Hakim ni mwenyezimungu, kuna cku atawatia nguvun watu flan na c rahic kama moja jumrisha moja 2
  • @
    @gracegrace6200منذ 3 سنوات HAWA NDIYO WATEKAJI WA TAIFA LETU. LAZIMA TUWAKATALIE. WAACHE KUTUONYESHA MACHOZI YA MAMBA 6
  • @
    @sheudedhusabuni3152منذ 3 سنوات Kweri wahenge niwahengea 2 nape nimekukubari San mbele ya mzee wa msoga
  • @
    @geraldmwandolela8535منذ 3 سنوات Hakika mna historia nzuri kwa kupitia wazazi wetu walifanya mengi mazuri kwa Taifa ,swali ni kwenu nyie watoto wao mumeifanyi nini Taifa,hatuwezi kuishi id="hidden8" class="buttons"> kwa kurisishwa kupiti nafasi au historia ya wazazi wenu hasa January na Nape ,Mbona hatumuni Riz Kikwete ,Makongoro Nyerere tunatambua uwezo wenu ndani ya Chama na kiutendaji il mtapata teuzi kwa utendaji punguzeni mambo kama hayo . ....وسعت
  • @
    @kingbuddah6372منذ 3 سنوات WATANZANIA HAWA WATU WALIKUWA C WATU WAZURI UKWELI AWAONGEI WANAFICHA MNAWAONA WATOTO ZAO ROHOZAO ZILIVYO WALIKUWA WAUAJI HAWA
  • @
    @felixmathias6362منذ 3 سنوات Safi sana, Taifa likiwa hivi hata wananchi watakuwa na umoja na Raha. Kweli miaka sita tumeteseka. Wacha tupumuzike Sasa. 4
  • @
    @gracekaboigora189منذ 3 سنوات Baba tumekuelewa ,ila kwa muda huu hakuna tumaini kama nahuye,haina jipya???ni majigambo
  • @
    @zesootv6726منذ 3 سنوات Washamalza yao sasa n furaha tuu si mzee ambaye alikuwa anawanyima raha kashaondoka Bana sasa hivi naona mzee mweupe jino la mwanzo hadi la mwisho wao kicheko wananchi wakawaida kilio 2
  • @
    @laurentmkolea522منذ 3 سنوات Wanafiki na Wapiga Dili katika ubora wao. Watanzania Million 60 tunaburuzwa na hawa Mamba Leo wanacheka tu baada ya Kumuondoa mwenzao duniani. 15
  • @
    @kingbuddah6372منذ 3 سنوات NYINYI WAZEE MLIKUWA WAUAJI NA NDIO MAANA UYU MZEE NAWIE ALINYONGWA KWA MABAYA ANAYOFANYA
  • @
    @saidalsalmi9313منذ 3 سنوات Safii sana CCM imerudi kwenye mikono salama. RIP mzee Mosese Nnyue. 1
  • @
    @kingbuddah6372منذ 3 سنوات NYINYI WOTE MLIKUWA WAUAJI MMEUA VIONGOZI WENGI KIPINDI CHENU NA WANENU WAMELISI
  • @
    @gracegrace6200منذ 3 سنوات Ukitaka kuwaona walioiteka Tanzania, utawaona hapa. Wazazi serikalini, kisha wanawasukuma watoto wawo kuingia serikalini ili familia hizo ziendelee kuiongoza id="hidden10" class="buttons"> Tanzania wanavyotaka wawo. .Tukitaka kuikombowa Tanzania lazima kamba hii ikatike ili vizazi vingine vishike madaraka. ....وسعت 4
  • @
    @mbwanarajab4756منذ 3 سنوات Safii Sana Sana..
    Shikamaneni kujenga nchi yetu na kuondoa Chuki, dharau na umasikini uliokithiri baada ya watu kukimbia na kuonewa hasa awamu ya 5 ambayo haikua na manufaa kwa watanzania
    5
  • @
    @masinchagabriel1848منذ 3 سنوات January hiyo nafasi uliyopo umeferi angalia sasa mpaka walioshindwa na nchi
  • @
    @petermushi1679منذ 3 سنوات Mh January hufai kuwa waziri was nishati wewe ni mlanguzi 7
  • @
    @Bruno-ed1psمنذ 3 سنوات Nape anastahili kuwa Waziri wa Sanaa na Michezo, sasa unaweka waziri wa sanaa hajui hata kuimba ???
    Mama naomba muone Nape anastahili
    1
  • @
    @TheKing-fe5osمنذ 3 سنوات Genge la wahuni wanasherehekea Mbwa hawa 4
  • @
    @mugishabindeba2752منذ 3 سنوات Waliishi kama mashetani sasa wanaishi kama wafalme
  • @
    @gracekaboigora189منذ 3 سنوات Kumbe baba hakuwa na uchu wa madaraka!!! 1
  • @
    @purumukamango5013منذ 3 سنوات Usiwe nakasirani yakumfanyia mtu aliyemrizia,namungu mazarayake nimakubwa, isipokuwa nawewe, Kama muda umekupita, basi waombee watoto wako wabalikiwe na id="hidden12" class="buttons"> mungu maombiyako nimuhimu, kazi kukometi Mambo yaletayochuki,kwajami, usipishe Jambo baya kwa baya,wewe fanya kwawema ....وسعت 2
  • @
    @hadijamagufuli2661منذ 3 سنوات Fisadi iloooo sura imemshuka kwa unafiki na ufisadi mbwa wewe 2
  • @
    @praygodmtui1407منذ 3 سنوات Tunawaomba endeleeni kudumisha amani na mshkamano tunawaomba mrudishe furaha kwa watanzania waliopita kwenye magumu wakati wa serikali ya awamu ya tano id="hidden13" class="buttons"> watu kutekwa bila kusahau uvamizi wa silaha uliokuwa unaendelea kule hai siha na Arusha na Moshi na Yule monitor wa wakuu wa wilaya bila kusahau yule aliyeagiza nape atolewe bastola ....وسعت 1
  • @
    @mohamedidrisa4192منذ 3 سنوات Hamna lolote nyie wauwaji wakubwa.mliamua kumuuwa Magu ili muendeleze kupiga madili. 3
  • @
    @kibaangashechonge3075منذ 3 سنوات Yote mnaongea hamtayaishi mtayachia hapohapp 1