المدة الزمنية 9:39

Ufanye Nini Unapokataliwa Na Watu Joel Nanauka

بواسطة Joel Nanauka
29 542 مشاهدة
0
577
تم نشره في 2019/07/29

Watu Wengi Sana Wamepoteza Matumaini Katika Maisha Yao Kwa Sababu Ya Kukataliwa.Maranyingi Sana Tunapokataliwa Tunahisi Kama Tumekosea,Kuna Mambo Manne Ambayo Unatakiwa Kufahamu Unapokataliwa:- 1.God Is Helping To Escape Something Bad. 2.Watu Bado Hawajaelewa Ulichokuwa Nacho (Thamani Yako). 3.Inakusaidia Kufanya Maamuzi Sahihi. 4.Endelea Kunoa Kipaji Chako Usikate Tamaa. Leo Chukua Muda Na Kuangalia Kati Ya Mambo Hayo Manne Niliyozungumza Ni Eneo Gani Unahisi Unatakiwa Kusimamia Baada Ya Kukataliwa? #JoelNanauka#SeeYouAtTheTop#TimizaMalengoYako

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 196