المدة الزمنية 5:22

Jinsi ya kuzuia kichefu chefu ktk Ujauzito | Fanya hivi ili kupunguza kichefu chefu ktk Mimba yako.

بواسطة Dr. Mwanyika
5 979 مشاهدة
0
78
تم نشره في 2021/10/17

Unaweza kupunguza kichefu chefu katika Ujauzito kwa kufanya yafuatayo: 1. Tumia Limau au Chai ya Limau. 2. Tumia Tangawizi au Chai ya Tangawizi. 3. Tafuna big G 4. Kula Vyakula kidogo kidogo Mara kwa Mara. 5. Kunywa Maji kidogo kidogo. 6. Pata Muda wa kupumzika. 7. Pumzika sehemu yenye hewa Safi. 8. Epuka Vyakula vyenye harufu Mbaya au harufu Mbaya inayoweza kukupelekea ukapata Kichefu chefu 9. Tumia Vitamin B6 na Dawa nyingine za kuzuia kutapika utakazopewa Daktari. Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito. /c/DrMwanyika Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://www.instagram.com/dr._mwanyika/ Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://mamaafya.com/ Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://www.facebook.com/JapideAfya/ Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://play.google.com/store/apps/details?id=com.wapnum.mamaafyaapp #drmwanyika #mamaafya #KichefuchefuMjamzito.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 40