المدة الزمنية 8:37

RAS ARUSHA AFARIKI KWENYE AJALI, RC ASIMULIA TUKIO

بواسطة Millard Ayo
20 426 مشاهدة
0
100
تم نشره في 2021/02/03

Katibu tawala wa Mkoa wa Arusha Richard Kwitega amefariki dunia baada yakupata ajali katika eneo la Mdori mkoani Manyara Mkuu wa mkoa wa Arusha Idd Kimanta amesema Kwitega alikuwa akisafiri kikazi kuelekea mkoani Dodoma “walipofika eneo la mdori mizani gari yao iligongana uso kwa uso na basi la Makara lililokuwa linatoka Babati kuja Arusha” RC Kimanta

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 66