المدة الزمنية 10:1

Waziri MKENDA Anena Mazito Zoezi la Ugawaji Miche ya Kahawa Wilayani Rombo//Aipongeza Bodi ya Kahawa

بواسطة Site Tv Online
206 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/12/20

WAZIRI WA KILIMO Prof Adolf Mkenda Ameipongeza Bodi ya Kahawa pamoja na Taasisi ya utafiti wa Kahawa Tanzania TaCRI Kwa kuhakikisha kuwa wakulima wanagaiwa miche bora ya Kahawa ili kuongeza ufanisi na uzalishaji wa kahawa kwa wakulima katika mikoa mbalimbali inayozalisha kahawa.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0